Mh! Samwel Sitta Kikaangoni
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa
Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta kukiri kuchezewa kwa saini ya
aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa na Hayati Baba wa
Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Msekwa amesema, ‘mzungumzaji huyo ana
lake jambo’.
Utata huo ulianza wiki hii baada ya kamati za Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake vya kujadili sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu
Utata huo ulianza wiki hii baada ya kamati za Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake vya kujadili sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu
No comments:
Post a Comment